Friday, May 27, 2016
Sunday, May 22, 2016
Prophet Paul Bendera akiwa amepanda juu kuonsha ya kwamba maisha yako yatakua juu siku zote na utakua mtu wa juu wa si mtu wa chini
Kama unavyoona Nabii Paul Bendera ameshika mfano wa upanga akitangaza maadui wote waliokua wanatesa maisha yako wanakwenda kukatiliwa mbali na maisha yako na hawata onekana tena maishani mwakohuu ni mfano wa ngazi uliotumiwa na nabii Bendera kuonyesha ya kwamba maisha yako yanakwenda kuinuliwa juu na hutakuwa mtu wa chini tena, kama vile yakobo alivyoona maraika wakipanda na kushuka, kama vile maraika walivyokua wanashuka ndivyo maadui zako watakavyo shuhwa na hawata panda tena
Nabii Paul Bendera akiachilia nguvu ya uponyaji kwa wanawake ambao wanasumbuliwa na kutokwa damu mfululizo na ambao siku zao hazieleweki na ambao wanatokwa damu muda mrefu isivyo kawaida, kama unavyoona nguvu za Mungu zimewashukia na wengine wameangushwa chini baada ya kushushindwa kuhimili nguvu kubwa ya Mungu iliyoshuka juu yao.
Nabii Paul Bendera akihudumu katika ibada ya jumapili tarehe 22 may 2016 katika kanisa kuu la Ufunuo, lililoko eneo la kimara Bonyokwa, ni ibada kubwa iliyokua imejawa na Nguvu za Mungu kupita kawaida, hii ni ibada ya UPAKO WA KUINULIWA JUU,
Sehemu ya umati wa watu katika ibada ya leo jumapili, wakimsikiliza Nabii Paul Bendera akifundisha, kanisani kimara
Sehemu ya umati wa watu katika ibada ya leo jumapili, wakimsikiliza Nabii Paul Bendera akifundisha, kanisani kimara
Thursday, May 12, 2016
Nabii Bendera akifundisha katika moja ya ibada zenye udhihirisho mkubwa wa nguvu za Mungu, katika kanisa kubwa na la kisasa la Ufunuo lililoko eneo la kimara bonyokwa, watu wengi wamekua wakipokea miujiza yao katika ibada hizi, wasio kuwa na watoto wanapata watoto, ndoa zilizo sambaratika kuunganishwa kwa upya, viziwi wanasikia, vipofu wanaona, wagonjwa wanaponywa na kadhalika
Yawezekana umekaa na umekata tamaa juu ya yale unayoyapitia pasipo kupata msaada, Mungu amekwisha leta majibu ya tatizo lako fika katika ibada zinazoendeshwa na Nabii bendera, itakua ni mwisho wa shida zako na mwazo wa furaha katika maisha yako
kumbuka kanisa la ufunuo lina matawi sehemu mbalimbali ndani na nje ya Jiji la dar es salaam unaweza kufika katika moja ya matawi ya kanisa hili na ukasaidiwa
Subscribe to:
Posts (Atom)