Shuhuda


Baba aliyekua anasumbuliwa na miguu kwa Miaka mingi sana na alikua amehangaika kutafuta uponyaji maeneo mbalimbali bila mafanikio mpaka ikapelekea kupoteza uwezo wa kutembea akawa akitumia wheelchair kama unavyo muona

Baada ya kufika katika kanisa la ufunuo nabii Bendera alimponya kwa njia ya kumbeba mgongoni kama unavyomuona katika picha 


Baada ya maombi ya uponyaji yaliyofanywa na Nabii Bendera baba huyu alipona pale pale na kuanza kutembea kwa kutumia miguu yake kama unavyomuona katika picha akimtukuza Mungu kwa uponyaji alioupokea
Na wewe tatizo ulilo nalo sio kubwa kwa Mungu wetu, njoo katika huduma ya Ufunuo nawe utapokea muujiza wako. 

_________________________________________________________

 Binti aliyeletwa katika ibada za ufunuo zilizo jawa na nguvu za Mungu kupita kawaida na zinazo ongozwa na Nabii Poul Bendera, katika kanisa la Ufunuo lililoko kimara bonyokwa, akiwa amechanganyikiwa na kua kichaa kabisa asiye jielewa na wakati wote alikua akitukana matusi ya nguoni

  Nabii bendera aliomba kwa ajili yake na kuachilia nguvu ya uponyaji iliyo mfungua binti huyu kutoka katika vifungo vya kishetani alivyokua amefungwa na akapokea uponyaji saa ileile na ufahamu wake ukamrudia

 Binti aliyekua kichaa akiwa amekaa na mzazi wake katika hali ya utulivu baada ya kuponywa, kutoka katika hali ya ukichaa na sasa akiwa ana hakili zake timamu na wala hana tatizo tena